Alfajiri - Voice Of America

Afrika Mashariki yamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyeaga dunia Alhamisi - Machi 01, 2024

Informações:

Sinopsis

Ali Hassan Mwinyi, ambaye katika awamu mbili kama rais wa Tanzania alisimamia kuanzishwa kwa demokrasia ya vyama vingi na kuanzishwa kwa uchumi huria, amefariki akiwa na umri wa miaka 98.