Alfajiri - Voice Of America

Marekani yakosoa vikali mswada unaotoa adhabu kali kwa wapenzi wa jinsia moja Ghana - Februari 29, 2024

Informações:

Sinopsis

Marekani Jumatano ilisema "imefadhaishwa mno" na kupitishwa kwa mswada wa sheria kali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, na bunge la Ghana, na kuhimiza utathminiwe upya, ili kubaini kama unafuata katiba ya nchi hiyo.