Alfajiri - Voice Of America

Mswada ambao huenda ukaipiga marufuku TikTok Marekani wapitishwa na Baraza la Wawakilishi - Machi 14, 2024

Informações:

Sinopsis

Baraza la Wawakilishi la Marekani, Jumatano liliidhinisha mswada, wa kuilazimisha programu maarufu ya mtandao wa kijamii, TikTok, kujitenga na kampuni mama, inayomilikiwa na China, ya ByteDance au kuuza sehemu ya programu hiyo kwa Marekani.