Alfajiri - Voice Of America

Senegal: Bassirou Faye aahidi wananchi kwamba ataongoza kwa unyeyekevu na uwazi - Machi 26, 2024

Informações:

Sinopsis

Mgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.