Voa Express - Voice Of America
Suala la kipato lachangia kwa wanawake kuvunja ndoa nchini Tanzania, yasema ripoti ya mashirika ya haki za wanawake - Desemba 12, 2024
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:29:59
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.