Changu Chako, Chako Changu

Changu chako chako changu kuhusu siku kuu ya kimataifa ya ukalimani sehemu pili

Informações:

Sinopsis

Karibu katika makala ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya siku ya kimataifa ya ukalimani na tafsiri, na kwenye le parler francophone nitakujuwa kinachoendelea kwenye vituo vya Alliance Francaise za Ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mace Ice. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue ama Karibu.