Sbs Swahili - Sbs Swahili

Chanjo za UVIKO-19 za watoto wenye chini ya miaka tano za idhinishwa Marekani

Informações:

Sinopsis

Chanjo za UVIKO -19 kwa watoto wenye chini ya miaka tano nchini Marekani zinaweza anza tolewa wiki hii, mamlaka wakisubiri idhini kutoka vituo vya kudhibiti ugonjwa nakuzuia.