Habari Rfi-ki

Nini mchango wa masharika ya kirai katika mataifa yetu ya Africa

Informações:

Sinopsis

Kongamano la kwanza la mashirika ya kiraia la Umoja wa Mataifa limekamilika jijini Nairobi wiki iliyopita, huku wito wa mazungumzo ya uwazi na ukweli kati ya serikali na mashirika hayo ukisisitizwa. Upi mchango wa mashirika ya kiraia kwenye nchi zetu?Unadhani yamefanya vya kutosha kuzisaidia jamii na kuchochea maendeleo?Kipi zaidi kifanyike kuboresha uhusiano kati yake na Serikali? Ski makala