Habari Rfi-ki

Tanzania : Raia wajitokeza kumchagua rais na wabunge

Informações:

Sinopsis

Shaba yetu katika makala haya inalenga nchi ya Tanzania ambapo raia wameshiriki uchaguzi kumchagua rais na wabunge. Je, unauzungumziaje uchaguzi wa Tanzania? Haya hapa maoni ya waskilizaji.