Habari Rfi-ki
Tanzania : Rais Samia amuteua mwanawe kuwa naibu waziri
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:09:59
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Tunajadili hatua ya viongozi kadhaa wa Afrika akiwemo rais wa Uganda, Yoweri Museveni, na rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wamewateua watu wa familia zao katika nafasi za serikali, hali hii ikionekana kwenda kinyume na maadili ya kazi. Tunakuuliza Je, uteuzi wa ndugu serikalini ni sahihi au si sahihi? skiza Makala haya