Charles Venny
Jenga Mfumo wa Kipato (Dividend Machine) Kwa Kutunza Tsh. 50,000 Kila Mwezi
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:20:49
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Kwa vijana wengi wa kitanzania ambao tunatufuta pesa leo ili tule leo na kesho wazo la kuwekeza huonekana kama ni la mamilionea. Kuna namna ukifikiria hili unaweza kuona kama ni sawa, lakini haipo hivyo. Ukweli ni kwamba ukiwa na mfumo wenye mkakati unaoeleweka ni rahisi zaka kutengeneza mashine yako ya dividend ambayo itakulisha vizuri baada ya miaka 10 ijayo.Kuna kanuni za msingi za uwekezaji ambazo ukizifuata na kuwekeza kiasi cha Tsh. 50,000 kila mwezi utaweza kuufikia uhuru wa kifedha.