Siha Njema

Mpango wa kliniki tembezi unavyowafaidi wakaaji kaskazini mwa Kenya

Informações:

Sinopsis

Mpango wa kliniki tembezi yaani mobile clinics  ni pale ambapo wahudumu wa afya wanatembea nyumba kwa nyumba na kuwatibu wenyeji kama vile wazee,akina mama na watoto.Maeneo ya kaskazini mwa Kenya ambapo hospitali  huwa mbali na vijiji ,ndiyo yanayolengwa kwenye mpango huo.