Alfajiri - Voice Of America

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 24:59:02
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast

Episodios

  • Bara la Afrika bado linakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa - Oktoba 30, 2024

    30/10/2024 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Uchaguzi wa Botswana kufanyika Jumatano - Oktoba 29, 2024

    29/10/2024 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Alfajiri - Oktoba 28, 2024

    28/10/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Rais wa Zambia Hakainde Hichilema akosolewa kwa kusimamisha kazi majaji watatu wa Mahakama ya Katiba. - Oktoba 25, 2024

    25/10/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Maelfu ya wakimbizi wa Syria waliotoroka mapigano nchini mwao miaka ya nyuma walazimika kurejea nyumbani kufuatia vita vya Lebanon. - Oktoba 24, 2024

    24/10/2024 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Zaidi wa wamarekani milioni 15 tayari wamepiga kura za mapema wiki mbilli kabla ya siku ya uchaguzi kufika. - Oktoba 23, 2024

    23/10/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Zaidi ya watu 70,000 wakoseshwa makazi kaskazini mwa Cameroon karibu na Chad kutokana na mafuriko. - Oktoba 22, 2024

    22/10/2024 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Viongzi wa upinzani wa Msumbiji waitisha maandamano ya Jumatatu kulalamikia uchaguzi uliopita. - Oktoba 21, 2024

    21/10/2024 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Baraza la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kwenye wadhifa wake naibu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua - Oktoba 18, 2024

    18/10/2024 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Hatma ya Makamu wa Rais wa Kenya kujulikana baada ya Seneti kukamilisha zoezi la kupiga kura ya kutokuwa na imani naye - Oktoba 17, 2024

    17/10/2024 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

página 3 de 3