Sinopsis
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Episodios
-
Historia ya mkutano wa Berlin sehemu ya kwanza Feb 23 2025
25/03/2025 Duración: 30minMakala haya yanazungumzia historia ya mkutano wa Berlin
-
Historia ya maisha ya Cassypool hadi kuwa Chawa wa marais
11/02/2025 Duración: 19minKatika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali anazungumza na Cassypool mwanamitandao na muhamasishaji kutoka nchini Kenya, ambae amejizolea umaharufu kupitia kile alichokiita tasnia ya uchawa, ambapo anaeleza kuwa chawa wa rais wa Kenya William Ruto na sasa ni chawa wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kumbuka pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali
-
Historia ya kabila la Wakalejin,Sanaa ya Kuigiza ya African Twist Pamoja na Historia yake Yemi Alade
26/01/2025 Duración: 19minMakala ya Changu Chako ,chako Changu hii leo yanaangazia historia na tamaduni za kabila la Wakalenjin kutokea Kenya.Kisha kwenye kipengele cha Leorparle Francophone tutangaazia maonyesho kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye muziki kuanzia miaka ya 1960 alafu kwenye kipengele chetu ya mwisho cha Muziki tutamuangazia mwanamuziki Yemi Alade.