Wieso Nicht? | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Informações:

Sinopsis

Kijerumani: Masuala ya uhusiano, daktari wa meno, matatizo ya kuishi pamoja na ununuzi. Makala ishirini za sauti za kukufaa katika maisha ya kila siku. Masomo haya yananuiwa kupanua ufahamu wa Kijerumani chako.

Episodios

  • Somo 20

    16/03/2009 Duración: 14min

    Kuyaogopa maumivu au vipi nilijuana na Graf Alucard

  • Somo 19

    16/03/2009 Duración: 14min

    Hakuna tena saladi au vipi konokono hutambaa katika ndoto yangu

  • Somo 18

    16/03/2009 Duración: 13min

    Saisa ya konokono au vipi tuliwafukuza konokono kutoka bustani yetu

  • Somo 17

    16/03/2009 Duración: 13min

    Simu jikoni au vipi mnyama pori huyo aliendelea kukaa na njaa

  • Somo 16

    16/03/2009 Duración: 14min

    Mnyama pori tumboni au vipi niliwapikia wenzangu katika WG

  • Somo 15

    16/03/2009 Duración: 14min

    Maskani mapya au vipi saa yangu ya kuniamsha ilifanya kazi tena

  • Somo 14

    16/03/2009 Duración: 14min

    Kutengeneza hakusaidii au vipi nilivunja uhusiano na rafiki yangu

  • Somo 13

    16/03/2009 Duración: 14min

    Asubuhi iliyofuatia au vipi Kasper alihamaki

  • Somo 12

    16/03/2009 Duración: 11min

    Sherehe ya kijijini au vipi alipata maumivu ya kichwa

  • Somo 11

    16/03/2009 Duración: 14min

    Hesabu kondoo au vipi Kasper alilala huku akivua samaki

  • Somo 10

    16/03/2009 Duración: 14min

    Mzaha wa wavuvi au vipi jirani hujinasa mwenyewe

  • Somo 09

    16/03/2009 Duración: 14min

    Kasper au vipi mimi hupokea barua zangu

  • Somo 08

    16/03/2009 Duración: 14min

    Duru ya pombe ya ‚Kölsch‘au vipi kucheza mchezo wa maneno

  • Somo 07

    16/03/2009 Duración: 13min

    Mita 320 kamili au vipi nilikutana na Mswissi wa kale mjini Luzern

  • Somo 06

    16/03/2009 Duración: 13min

    Sabine aliyevalia rangi za manjano na nyeusi au vipi rafiki yangu wa akawa mshabiki wa Borussia

  • Somo 05

    16/03/2009 Duración: 14min

    Jumamosi ya kabumbu au vipi rafiki yangu wa kike aliwasili mjini Dortmund

  • Somo 04

    16/03/2009 Duración: 14min

    Kila kitu kilistawi au vipi taa ya kuongoza magari ilinichezesha ngoma

  • Somo 03

    16/03/2009 Duración: 14min

    Kifungua kinywa au vipi mchana niliugeuza usiku

  • Somo 02

    16/03/2009 Duración: 14min

    Sarakasi inaendelea na safari au vipi kucheza mchezo wa maneno

  • Somo 01

    16/03/2009 Duración: 14min

    Sarakasi katika Supamaket au vipi mvua huwakutanisha watu